BREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani!
#MODEWJI #MOKUPATIKANA
BREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani!
Taarifa zilizotufikia alfajiri ya leo, Oktoba 20, 2018, zinasema kuwa Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la Mo Dewji amepatikana na amerejea nyumbani kwake kuungana na familia yake akiwa salama. Kwa mujibu wa mtandao wa Makampuni ya Mohamed Enterprises ya MeTL Group, Mo amerejea nyumba ikiwa ni siku ya tisa baada ya kutekwa na watu wasiojulikana Alhamis Oktoba 11 katika Hoteli ya Colessium iliyopo Masaki jijini Dar es salaam.
Akitoa taarifa hizo kuptia mtandao wa Twitter unaomilikiwa na Kampuni yake ya Mohamed Enterprises Ltd, Mo ameandika: "Namshukuru Mwenyezi Mungu nimerudi salama nyumbani. Nawashukuru Watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao. Nashukuru mamlaka zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, zilizofanya kazi ya kuhakikisha narudi salama.” — Mohammed Dewji na , taarifa ambayo aliipost Saa 9:15 alfajiri, saa za Tanzania.
#MoDewji #MoDewjiApatikana
Global TV Online:
Watch More Videos here:
Watch More Videos here:
Website:
FaceBook:
Instagram:
Twitter:
Install Global App: ANDROID:
Install Global App: iOS: