“Daktari…ndiyo tunakufa,” Consolata alimwambia Daktari

  • 6 years ago
“Daktari…ndiyo tunakufa,” ilikuwa kauli ya Consolata dakika chache kabla ya kuaga dunia. Alitoa kauli hii mbele ya Daktari baada ya kuona hali ya pacha mwenzake, Maria ikizidi kuwa mbaya. Hii ni simulizi ya Daktari mfawidhi.

Recommended