Makonda Aijibu CHADEMA, Mwanafunzi Anaedaiwa Kutekwa

  • 6 years ago
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema kuwa jiji la Dar es salaam sasa liko shwari tofauti na miaka mitatu iliyopita na kuwataka wanaosema hamna amani wajaribu kufanya tafiti, pia ametoa kauli kuhusiana na Mwanafunzi Abduli Nondo wa Chuo kikuu cha anaedaiwa kutekwa siku ya tarehe machi 6-7 mwaka huu na kukutwa mkoani Iringa.