Exclusive:"Siwezi kumshauri Zari, Diamond bosi wangu" Wema Sepetu

  • 6 years ago
Msanii wa filamu Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza Jumapili hii kuzungumzia kuhusika kwake katika kulivunja penzi la Diamond na Zari. Muigizaji huyo amedai hawezi kumshauri chochote Zari kwa kuwa ni mtu mzima ambaye anajitambua na anaweza kufanya maamuzi yake mwenyewe.

Recommended